Font Size
Yohana 18:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 18:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Akamatwa
18 Baada ya sala hii Yesu aliondoka na wanafunzi wake waka vuka kijito cha Kidroni wakaingia katika bustani iliyokuwa upande wa pili. 2 Yuda, ambaye alimsaliti Yesu, pia alipafahamu mahali hapo kwani Yesu alikuwa akikutana na wanafunzi wake hapo mara kwa mara.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica