Font Size
Yohana 18:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 18:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Ndipo Simoni Petro akachomoa upanga aliokuwa amechukua akamkata sikio la kulia mtumishi wa kuhani mkuu. Jina la mtumishi huyo lilikuwa Malko. 11 Yesu akamwambia Petro, “Rudisha upanga wako kwenye ala. Je, nisinywe kikombe cha mateso alichonipa Baba?” 12 Kwa hiyo mkuu wa kikosi na askari wake pamoja na wale walinzi wa Hekalu waliot umwa na viongozi wa Wayahudi, wakamkamata Yesu wakamfunga mikono.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica