Font Size
Yohana 18:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 18:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Yesu akamwambia Petro, “Rudisha upanga wako kwenye ala. Je, nisinywe kikombe cha mateso alichonipa Baba?” 12 Kwa hiyo mkuu wa kikosi na askari wake pamoja na wale walinzi wa Hekalu waliot umwa na viongozi wa Wayahudi, wakamkamata Yesu wakamfunga mikono. 13 Kisha wakampeleka kwanza kwa Anasi mkwewe Kayafa ambaye ali kuwa ndiye kuhani mkuu mwaka ule.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica