Wao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.” Yesu akawaambia, “Ni mimi.” Yuda ambaye alimsaliti alikuwa amesimama na wale askari. Yesu alipowaambia, ‘Ni mimi,’ walirudi nyuma wakaanguka chini! Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakajibu, “Yesu wa Nazareti .”

Read full chapter