Font Size
Yohana 18:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 18:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
5 Wakamjibu, “Yesu kutoka Nazareti.”
Akawaambia, “Mimi ni Yesu.”[a] (Yuda yule aliyehusika kumsaliti Yesu alikuwa amesimama hapo pamoja nao.) 6 Yesu aliposema, “Mimi ni Yesu,” wale watu walirudi nyuma na kuanguka chini.
7 Akawauliza tena, “Je, ni nani mnayemtafuta?”
Wakasema, “Yesu kutoka Nazareti.”
Read full chapterFootnotes
- 18:5 Mimi ni Yesu Kwa maana ya kawaida, “Mimi ndimi”, ambayo inaweza kuwa na maana ile ile hapa kama ilivyo katika 8:24,28,58; 13:19. Pia katika mstari wa 8.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International