Yesu alipowaambia, ‘Ni mimi,’ walirudi nyuma wakaanguka chini! Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakajibu, “Yesu wa Nazareti .” Yesu akawaambia, “Nimekwisha waeleza kuwa ni mimi; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi waachilieni hawa wengine waende.”

Read full chapter