Font Size
Yohana 18:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 18:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
6 Yesu aliposema, “Mimi ni Yesu,” wale watu walirudi nyuma na kuanguka chini.
7 Akawauliza tena, “Je, ni nani mnayemtafuta?”
Wakasema, “Yesu kutoka Nazareti.”
8 Yesu akasema, “Nimewaambia kwamba mimi ndiye Yesu. Hivyo kama mnanitafuta mimi, basi waacheni huru watu hawa waende zao.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International