Font Size
Yohana 18:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 18:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Yesu akawaambia, “Nimekwisha waeleza kuwa ni mimi; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi waachilieni hawa wengine waende.” 9 Alisema haya ili lile neno alilosema lipate kutimia, ‘Kati ya wale ulionipa sikupoteza hata mmoja.’ 10 Ndipo Simoni Petro akachomoa upanga aliokuwa amechukua akamkata sikio la kulia mtumishi wa kuhani mkuu. Jina la mtumishi huyo lilikuwa Malko.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica