Font Size
Yohana 20:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 20:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Akaona malaika wawili wamevaa nguo nyeupe, wamekaa pale mwili wa Yesu ulipokuwa, mmoja upande wa miguuni na mwingine upande wa kichwani! 13 Wakamwuliza Mariamu, “Mama, mbona unalia?” Akawaambia, “Nalia kwa kuwa wamemchukua Bwana wangu na sijui wamemweka wapi.” 14 Alipokuwa akisema haya akageuka, akamwona Yesu amesimama nyuma yake, lakini hakumtambua!
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica