Font Size
Yohana 20:26-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 20:26-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
26 Juma moja baadaye wafuasi walikuwemo katika nyumba ile tena, na Tomaso alikuwa pamoja nao. Milango ilikuwa imefungwa, lakini Yesu akaja na kusimama katikati yao. Akasema, “Amani iwe nanyi!” 27 Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa. Iangalie mikono yangu. Weka mkono wako hapa ubavuni mwangu. Acha kuwa na mashaka na uamini.”
28 Tomaso akamwambia Yesu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International