Font Size
Yohana 20:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 20:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Kwa maana mpaka wakati huo walikuwa bado hawajaelewa yale Maandiko yaliyotabiri kuwa angefufuka kutoka kwa wafu. 10 Wale wanafunzi wakaondoka wakarudi nyumbani kwao.
Yesu Anamtokea Mariamu
11 Lakini Mariamu akakaa nje ya kaburi akilia. Na alipokuwa akilia akainama kutazama mle kaburini.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica