Font Size
Yohana 21:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 21:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Yesu akawaambia, “Leteni baadhi ya samaki mliovua.” 11 Simoni Petro akaenda akauvuta ule wavu ambao ulikuwa umejaa samaki wakubwa mia moja hamsini na tatu, akauleta ufukoni. Ingawa samaki walikuwa wengi kiasi hicho, ule wavu haukuchanika. 12 Yesu akawaambia, “Njooni mle.” Hakuna hata mmoja wao aliyethubutu kumwuliza, “Wewe ni nani?” Walijua hakika ya kuwa ni Bwana.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica