Font Size
Yohana 21:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 21:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Yesu akawaambia, “Wanangu, mmepata samaki wo wote?” Wakamjibu, “La.” 6 Akawaambia, “Shusheni wavu upande wa kulia wa mashua yenu nanyi mtapata samaki.” Walivyofa nya hivyo walipata samaki wengi mno hata wakashindwa kuingiza ule wavu uliojaa samaki katika mashua! 7 Kisha yule mwanafunzi ali yependwa na Yesu akamwambia Petro, “Ni Bwana!” Petro aliposikia haya akajifunga nguo yake, kwa kuwa alikuwa amevua wakati wakifa nya kazi, akajitosa baharini, akaogelea kuelekea ufukoni.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica