Font Size
Yohana 21:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 21:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Walipowasili nchi kavu, wakaona moto wa mkaa na samaki wakiokwa juu yake, na mikate. 10 Yesu akawaambia, “Leteni baadhi ya samaki mliovua.” 11 Simoni Petro akaenda akauvuta ule wavu ambao ulikuwa umejaa samaki wakubwa mia moja hamsini na tatu, akauleta ufukoni. Ingawa samaki walikuwa wengi kiasi hicho, ule wavu haukuchanika.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica