Font Size
Yohana 3:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 3:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
29 Bibi harusi ni wa bwana harusi. Lakini rafiki yake bwana harusi anayesimama karibu na kusikiliza, hufu rahi aisikiapo sauti ya bwana harusi. Sasa furaha yangu imekamil ika. 30 Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi niwe mdogo zaidi.”
Aliyetoka Mbinguni
31 “Yeye aliyekuja kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wote. Anayetoka duniani ni wa dunia, naye huzungumza mambo ya hapa duniani. Yeye aliyekuja kutoka mbinguni, yu juu ya watu wote.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica