Font Size
Yohana 3:31-33
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 3:31-33
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ajaye Kutoka Mbinguni
31 “Anayekuja kutoka juu ni mkubwa kuliko wengine wote. Anayetoka duniani ni wa dunia. Naye huzungumza mambo yaliyo ya duniani. Lakini yeye anayekuja kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wengine wote. 32 Huyo huyasema aliyoyaona na kuyasikia, lakini watu hawayapokei anayoyasema. 33 Bali yeyote anayepokea anayoyasema basi amethibitisha kwamba Mungu husema kweli.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International