Font Size
Yohana 3:32-34
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 3:32-34
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
32 Huyo huyasema aliyoyaona na kuyasikia, lakini watu hawayapokei anayoyasema. 33 Bali yeyote anayepokea anayoyasema basi amethibitisha kwamba Mungu husema kweli. 34 Na kwamba Mungu alimtuma, na yeye huwaeleza watu yale yote Mungu aliyoyasema. Huyo Mungu humpa Roho kwa ujazo kamili.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International