Font Size
Yohana 3:33-35
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 3:33-35
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
33 Bali yeyote anayepokea anayoyasema basi amethibitisha kwamba Mungu husema kweli. 34 Na kwamba Mungu alimtuma, na yeye huwaeleza watu yale yote Mungu aliyoyasema. Huyo Mungu humpa Roho kwa ujazo kamili. 35 Baba anampenda Mwana na amempa uwezo juu ya kila kitu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International