Yesu Na Mwanamke Msamaria

Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kuba tiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana. Lakini kwa hakika Yesu hakubatiza, wanafunzi wake ndio waliokuwa wakibatiza watu. Bwana alipopata habari hizi aliondoka Yudea akarudi Galilaya.

Read full chapter