Font Size
Yohana 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Lakini ye yote atakayekunywa maji nitakay ompa mimi, hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa kama chemchemi itakayobubujika maji yenye uhai na kumpa uzima wa milele.”
15 Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuchota maji!”
16 Yesu akamjibu, “Nenda kamwite mumeo, kisha uje naye hapa.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica