Add parallel Print Page Options

15 Mwanamke akamwambia Yesu, “Bwana, nipe maji hayo. Kisha sitapata kiu na sitapaswa kuja tena hapa kuchota maji.”

16 Yesu akamwambia, “Nenda kamwite mumeo kisha urudi naye hapa.”

17 Mwanamke akajibu, “Lakini mimi sina mume.”

Yesu akamwambia, “Uko sahihi kusema kuwa huna mume.

Read full chapter