Font Size
Yohana 4:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwam bia, “Umesema kweli kuwa huna mume. 18 Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanamume unayeishi naye sasa si mume wako!”
19 Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica