Add parallel Print Page Options

17 Mwanamke akajibu, “Lakini mimi sina mume.”

Yesu akamwambia, “Uko sahihi kusema kuwa huna mume. 18 Hiyo ni kwa sababu, hata kama umekuwa na waume watano, mwanaume unayeishi naye sasa sio mume wako. Huo ndiyo ukweli wenyewe.”

19 Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona ya kuwa wewe ni nabii.

Read full chapter