Lakini kwa hakika Yesu hakubatiza, wanafunzi wake ndio waliokuwa wakibatiza watu. Bwana alipopata habari hizi aliondoka Yudea akarudi Galilaya. Katika safari hiyo ilimbidi apitie Samaria.

Read full chapter