Bwana alipopata habari hizi aliondoka Yudea akarudi Galilaya. Katika safari hiyo ilimbidi apitie Samaria.

Akafika kwenye mji mmoja wa Samaria uitwao Sikari, karibu na lile shamba ambalo Yakobo alimpa mwanae Yusufu.

Read full chapter