Add parallel Print Page Options

35 Kisha Yesu akasema, “Mimi ndiye mkate unaoleta uzima. Hakuna ajaye kwangu atakayehisi njaa. Hakuna anayeniamini atakayepata kiu kamwe. 36 Nilikwisha kuwaambia mapema kuwa mmeona kile ambacho naweza kufanya,[a] lakini bado hamuniamini. 37 Vyote anavyonipa Baba vitakuja kwangu hata hivyo yeyote Yule atakayekuja kwangu sitamkataa kabisa. Nami kwa hakika daima nitawapokea.

Read full chapter

Footnotes

  1. 6:36 kile ambacho naweza kufanya Au “mimi ninachoweza kufanya”, ambayo ipo katika nakala nyingi za Kiyunani, lakini haipo katika nakala mbili kati ya zile bora zaidi.