Font Size
Yohana 6:36-38
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 6:36-38
Neno: Bibilia Takatifu
36 Lakini kama nilivyokwisha waambia, mnaniona lakini bado hamtaki kuamini. 37 Wale wote ambao Baba amenipa watakuja kwangu na ye yote ajaye kwangu, sitamtupa nje kamwe. 38 Kwa maana sikushuka kutoka mbinguni nije kutimiza mapenzi yangu, bali nitimize mapenzi yake yeye aliyenituma.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica