Font Size
Yohana 8:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 8:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Yule mwa namke akajibu, “Hakuna Bwana.” Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Unaweza kwenda, lakini usitende dhambi tena.”]
Yesu Ni Nuru Ya Ulimwengu
12 Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru yenye kuleta uzima.” 13 Mafarisayo wakam wambia, “Ushuhuda wako haukubaliki kwa sababu unajishuhudia mwe nyewe.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica