Font Size
Yohana 8:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 8:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
4 Wakamwambia Yesu, “Mwalimu, mwanamke huyu amekamatwa akifanya zinaa. 5 Sheria ya Musa inatuagiza kumponda kwa mawe mpaka afe mwanamke wa jinsi hiyo. Je, Unasema tufanye nini?”
6 Watu hao waliyasema haya ili kumtega Yesu. Walitaka kumkamata akisema mambo tofauti ili wapate mashtaka ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama chini na kuanza kuandika kwenye udongo kwa kidole chake.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International