Font Size
Yohana 8:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 8:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Katika sheria, Musa ametuamuru kuwapiga mawe wanawake waliokamatwa wakizini, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?” 6 Walim wuliza hivi kwa kumtega, kusudi wapate sababu ya kumshtaki. Lakini Yesu akainama chini akaanza kuandika kwa kidole chake mavumbini. 7 Walipoendelea kumwulizauliza akainuka, akawaambia, “Asiyekuwa na dhambi kati yenu awe wa kwanza kumtupia jiwe.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica