Font Size
Yohana 8:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 8:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Viongozi wa Kiyahudi waliendelea kumuuliza swali lao hilo. Naye akainuka na kusema, “Yeyote hapa ambaye hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumponda jiwe mwanamke huyu.” 8 Kisha Yesu akainama chini tena na kuendelea kuandika katika udongo.
9 Waliposikia hayo, wale watu walianza kuondoka mmoja baada ya mwingine. Wanaume wazee wakitangulia kwanza, na kisha wengine wakifuata. Wakamwacha Yesu peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International