Font Size
Yohana 8:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 8:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, akianza mkubwa wao. Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama pale walipomwacha. 10 Yesu akasimama akamwuliza, “Mama, wale waliokuwa wanakush taki wako wapi? Hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?” 11 Yule mwa namke akajibu, “Hakuna Bwana.” Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Unaweza kwenda, lakini usitende dhambi tena.”]
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica