11 Akawaam bia, “Yule mtu aitwaye Yesu alitengeneza tope akanipaka machoni akaniambia niende nikaoshe uso katika kijito cha Siloamu. Nikaenda na mara baada ya kuosha uso nikaweza kuona!” 12 Wakam wuliza, “Huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.”

Mafarisayo Wachunguza Kuponywa Kwa Kipofu

13 Wakampeleka yule mtu aliyeponywa upofu kwa Mafarisayo.

Read full chapter