Add parallel Print Page Options

11 Akawajibu, “Mtu yule wanayemwita Yesu alitengeneza tope akayapaka macho yangu. Kisha akaniambia ‘Nenda kanawe kwenye bwawa la Siloamu.’ Hivyo nikaenda kule na kunawa, na ndipo nikaweza kuona.”

12 Wakamwuliza, “Yuko wapi mtu huyo?”

Akajibu, “Mimi sijui aliko.”

Baadhi ya Mafarisayo Wana Maswali

13 Kisha watu wakampeleka huyo mtu kwa Mafarisayo.

Read full chapter