12 Wakam wuliza, “Huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.”

Mafarisayo Wachunguza Kuponywa Kwa Kipofu

13 Wakampeleka yule mtu aliyeponywa upofu kwa Mafarisayo. 14 Siku hiyo Yesu aliyomponya ilikuwa siku ya sabato.

Read full chapter