Add parallel Print Page Options

12 Wakamwuliza, “Yuko wapi mtu huyo?”

Akajibu, “Mimi sijui aliko.”

Baadhi ya Mafarisayo Wana Maswali

13 Kisha watu wakampeleka huyo mtu kwa Mafarisayo. 14 Siku Yesu alipotengeneza yale matope na kuyaponya macho ya mtu huyo ilikuwa ni Sabato.

Read full chapter