Mafarisayo Wachunguza Kuponywa Kwa Kipofu

13 Wakampeleka yule mtu aliyeponywa upofu kwa Mafarisayo. 14 Siku hiyo Yesu aliyomponya ilikuwa siku ya sabato. 15 Mafar isayo nao wakamwambia awaeleze jinsi alivyopata kuponywa. Naye akawaambia, “Alinipaka tope kwenye macho, nikanawa uso na sasa naona.”

Read full chapter