Font Size
Yohana 9:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 9:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Baadhi wakasema, “Ndiye.” Wengine wakasema, “Siye, bali wamefanana.” Lakini yeye akawahakikishia kuwa yeye ndiye yule kipofu ambaye sasa anaona.
10 Wakamwuliza, “Macho yako yalifumbuliwaje?” 11 Akawaam bia, “Yule mtu aitwaye Yesu alitengeneza tope akanipaka machoni akaniambia niende nikaoshe uso katika kijito cha Siloamu. Nikaenda na mara baada ya kuosha uso nikaweza kuona!”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica