1 Wakorintho 14:36
Print
Je, ni kutoka kwenu neno la Mungu lilikuja ama lilikuja kwa ajili yenu pekee?
Je, mnadhani neno la Mungu lil itoka kwenu? Au ni ninyi tu ambao neno la Mungu limewafikia?
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica