1 Petro 1:24
Print
Hivyo, kama Maandiko yanavyosema: “Watu wote ni kama manyasi, na utukufu wao wote ni kama maua pori katika manyasi. Manyasi yananyauka na kukauka, na maua yanapukutika,
Maana, “Binadamu wote ni kama nyasi na utukufu wao ni kama ua la mwituni. Nyasi hunyauka na ua huanguka,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica