Font Size
1 Petro 2:7
Inamaanisha heshima kwenu mnaoamini, bali kwa wasioamini, “jiwe walilolikataa wajenzi limekuwa jiwe la muhimu kuliko yote.”
Kwenu ninyi mnaoamini, yeye ni wa thamani kubwa. Lakini kwao wasioamini, “Lile jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi,”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica