Waefeso 3:2
Print
Mnajua hakika ya kuwa Mungu alinipa kazi hii kupitia neema yake ili niwasaidie.
Ninaamini kwamba mmek wisha sikia kuwa Mungu amenipa neema yake niwe mhudumu kwa ajili yenu;
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica