Waefeso 6:15
Print
Miguuni mwenu vaeni Habari Njema za amani ili ziwasaidie msimame imara.
na kuvaa Injili ya amani kama viatu miguuni, ili muweze kusimama barabara.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica