Yakobo 1:3
Print
Kwa sababu mnajua kuwa imani yenu inapojaribiwa ndipo mnapojifunza kuwa wavumilivu.
Kwa maana mnafahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu hujenga ustahimilivu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica