Yohana 10:2
Print
Lakini mtu anayewachunga kondoo hupitia mlangoni. Yeye ndiye mchungaji.
Anayepitia mlangoni ndiye mchun gaji wa kondoo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica