Yohana 10:29
Print
Baba yangu ndiye aliyenipa hao, naye ni mkuu kuliko wote. Hakuna anayeweza kuwaiba kondoo wangu kutoka mkononi mwangu.
Baba yangu ambaye amenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwatoa hawa kutoka katika mikono yake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica