Yohana 18:30
Print
Wakajibu, “Yeye ni mtu mbaya. Ndiyo maana tumemleta kwako.”
Wao wakamjibu, “Kama huyu mtu hakuwa ametenda maovu tusingemleta kwako.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica