Yohana 20:13
Print
Malaika wakamwuliza Mariamu, “Mwanamke, kwa nini unalia?” Mariamu akajibu, “Wameuondoa mwili wa Bwana wangu, na sijui wameuweka wapi.”
Wakamwuliza Mariamu, “Mama, mbona unalia?” Akawaambia, “Nalia kwa kuwa wamemchukua Bwana wangu na sijui wamemweka wapi.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica