Yohana 21:5
Print
Kisha akawauliza, “Rafiki zangu, mmepata samaki wo wote?” Wao wakajibu, “Hapana.”
Yesu akawaambia, “Wanangu, mmepata samaki wo wote?” Wakamjibu, “La.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica