Yohana 3:32
Print
Huyo huyasema aliyoyaona na kuyasikia, lakini watu hawayapokei anayoyasema.
Anayashuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia lakini hakuna anayekubali maneno yake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica